VIP Mother Nature Enterprises
Tunapatikana Mtaa wa Viwanda Kibwabwa, Iringa, tukiwa na dhamira ya kuboresha afya na lishe ya jamii kupitia bidhaa asilia, bora na salama.
Tunatengeneza na kusambaza:
-
Unga Lishe: Umeandaliwa maalum kwa makundi mbalimbali ya jamii – watoto kwa ajili ya ukuaji mzuri, wajawazito na wanaonyonyesha kwa afya na nguvu, wazee na wagonjwa kwa uimarishaji wa kinga mwilini.
-
Mwani (Seamoss): Chanzo kikubwa cha madini na virutubisho vinavyosaidia kuongeza kinga ya mwili, kuimarisha afya ya ngozi, nywele na mfumo wa mmeng’enyo.
-
Korosho: Zenye ubora wa hali ya juu, zikitumika kama kitafunwa chenye afya na pia kama malighafi ya vyakula mbalimbali.
Tunajivunia kutumia malighafi safi na mbinu za kiasili kuhakikisha bidhaa zetu zinabaki na ubora wa hali ya juu na manufaa ya kiafya kwa watumiaji. Lengo letu ni kukuza afya bora ya familia na jamii kupitia bidhaa bora na zinazokidhi mahitaji ya kila siku.
Kwa mawasiliano na oda:
📞 0613 733 105
📞 0714 044 385
📞 0623 473 947



